Tulikutana na changamoto nyingi sana kwa vijana kwenye kijiji hicho kwani zilitutia moyo wa kufanya Kazi Basi tulifika kijiji kwetu na tukapanga mipango mingine ya kwenda kijiji kingine zilipita siku chache kwa vijana wenzangu kutoa uchovu wa safari iliyopita. Siku ilifika na tulijianda na vijana wenzangu ili tuende kijiji tulicho jipangia kwa siku hiyo safari ilianza na tulipanda chombo cha maji huku safari ikiendelea mvua ilianza kunyesha huku ikiongeza kiasi na mawimbi yakawa makubwa na kuizidi chombo chetu kiukweli wote tulitaamaki na kubaki tumepigwa na butwaaa hatujui futanye nini??. Ndipo wimbi lenye nguvu Kali lilipiga chombo chetu na kila mmoja aliluka upande anaojua. Kwa upande wangu nililuka kwenye maji hayo kwani nilikuwa mzoefu wa kuogelea.
Usiku ulikuwa mkubwa kwa story aliokuwa akipewa na binti SARAFINA ndipo Kijana MWAKIPALE alimwomba story hiyo ataimalizia hata kesho kwani alikuwa amechoka sana. SARAFINA alimkubalia naye aliondoka na kuelekea mahali alipokuwa akilala binti huyo huku NAYE MWAKIPALE akienda kujumuika na vijana wenzake ili kesho yake waendelee na kazi . Asubuhi ilifika na binti SARAFINA alikuwa wa kwanza kuamka na kiasi Fulani alikuwa kaisha wazoea NAYE alichukua jukumu la kuwaamsha waende wote wakatege mitego kwa siku hyoo. Waliwasha chombo chao wakaenda mbali zaidi kutega mitego yao huku wakifatana na binti SARAFINA walitega mitego yao. Walianza safari ya kuludi nchi kavu ili waendelee na shuguli nyingine ndipo walipo kuwa wakiludi binti SARAFINA alifanya kitu cha ajabu..........? Ni kitu gani hcho Basi usikose
COMMENTS NENO 1 TU
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳☘☘☘☘☘☘☘☘WABEBA LAWAMA
🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂
COMMENTS NENO 1 TU
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳☘☘☘☘☘☘☘☘WABEBA LAWAMA
🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂
0 Maoni