Walirudi nyumba huku kila mmoja akiwa amejipanga kwa kumshawishi binti yule kwa vyakula vile na kila mmoja akijipa matumaini atamshawishi kwa usiku ule. Walifika na walimkuta binti yule yuko anaoka moto Basi vitimbwi vikaanza kwa Kijana mmoja kutata kujalibu bahati yake huku akimpelekea chakula alicho kuwa amenunua Basi alikifurahia chakula cha Kijana yule walipooona hivyo wenzie wote wakamzunguka na kila mmoja alitaka chakula chake kiliwe na yule binti siku hyooo ilikuwa ya kila mmoja kuonesha uwezo wa kumshawishi binti yule. Licha ya Kijana MWAKIPALE alipompatia tu chakula yule binti naye alinogewa huku wengne wali jiuliza Kijana MWAKIPALE kafanya vipi mpaka binti yule kutokea kukipenda sana chakula kile. huku wakijiuliza hivyo Mara Kijana MWAKIPALE akamvuta NAYE akavutika basi siku hiyo Kijana MWAKIPALE alionekana mjanja kwa wenzie.
Basi vijana wenzake na MWAKIPALE waliondoka na kuwaacha binti pamoja na MWAKIPALE wakiota moto. Basi alipoona hivyo Kijana MWAKIPALE NAYE bila kusita alimuuliza tena binti yule "yeye ni nani na kimpata kipi". Binti kwa mapozi alitabasamu na kumjibu Kijana MWAKIPALE " Mimi ni SARAFINA ni mtoto wa kwanza kwa Mzee MWAKITORE pia ni mwanakiji wa kijiji cha KIDOWENZO na hiki kilichotokea mpaka mliponikuta turikuwa kwenye ziara ya kutemberea vijiji vya jirani ili kuwaelimisha na vijana wenzangu wapatao 20. Turianza safari ya kutembelea kijiji kimoja baada ya kingine". Aliendelea kusimulia binti SARAFINA "kijiji cha kwanza tulifanikiwa kufika na kufanya kilicho tupeleka Basi tulianza safari ya kuludi kwenye kijiji chetu ndipo tulipokutana _________?
⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽🎱🎱🎱🎱
WABEBA LAWAMA
💦💦💦💦💦💦💧💧💧💧💧
⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽🎱🎱🎱🎱
WABEBA LAWAMA
💦💦💦💦💦💦💧💧💧💧💧
0 Maoni