wabeba lawama sehemu ya 4



Amepona binti huyu ndipo vijana wale wakaamini alicho kuwa akisema Kijana MWAKIPALE. Ndipo Kijana mmoja akajitolea Nguo ili binti yule ajisitiri kwani alikuwa anahisi baridi mno. Safari iliendelea huku vijana walitoa macho yote kwa binti yule na kumtamani pia ndipo binti yule akawauliza kafika vipi hapo vijana wote walishangaa kuulizwa na binti yule ndipo Kijana MWAKIPALE alichukua jukumu la kumsimulia walipomkuta na mpaka alipo kwa mda hule naye akaelewa na Kijana MWAKIPALE naye alimuuliza swali binti imekuwaje mpaka tumekukuta hukielea juu ya maji bila hata ya msahada. Binti yule alimjibu huku akisema "ni story ndevu ndugu zangu kwa mda huu ningependa tufike ng'ambo (nchi kavu) nitawaeleza kwani hapa sito weza" Basi Kijana MWAKIPALE alikubaliana na binti yule kwani aliona hali yake bado aijawa nzuri Basi ni busara wamfikishe na apumzike ndipo atawasimuria hicho kisa.
Walifika nchi kavu na kumpeleka ndani akapumzike na akiwa vizuri watazidi kujuana zaidi. Basi alibaki Kijana MWAKIPALE akimuudumia yule binti huku vijana wenzake walirudi kutega mitego yao. MWAKIPALE alimuwashia moto ili apate joto yule binti na alichukua jukumu LA kumtaarishia (kumuandalia) chakula kwa wakati huo. Ilipofika jioni vijana wali kwenda kuangalia kama walipata kitu kwenye mitego waliyo kuwa wametega nawo walikuta samaki wengi sana na walipeleka tena kijiji cha jilani kwenda kuuza ili wapate pesa ya kuwakimu mwenyewe na kutimiza walichokuwa wakihitaji. Waliuza na walifanikiwa kununua vyakula na kupeleka wakatengeneze wale na yule binti huku wakinunua vyakula vile kila mmoja alinunua chakula ili binti yule akila NAYE afurahi...........?
🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🌶🌶🌶🌶🌶🌶WABEBA LAWAMA

Chapisha Maoni

0 Maoni