Hawakukuta hata samaki mmoja kwenye mtego ule wote walichoka na nguvu ziliwaisha kwani ndiyo siku ya kwanza na siku mbaya sana kwao. Kijana MWAKIPALE aliwatia moyo vijana wenzake nao walimwelewa kwa kuitika KWA unyonge. Siku ya kwanza ikapita bila ya kupata kitu huku Kijana MWAKIPALE akiwa na mawazo nini kilifanya mpaka wakakosa samaki maana samaki kwenye bahari hiyo walikuwa wengi sana. Basi
walirudi nchi kavu kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata chakula cha jioni waliingia porini na kutafuta chakula
huku wakishirikiana .
walirudi nchi kavu kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata chakula cha jioni waliingia porini na kutafuta chakula
huku wakishirikiana .
Asubhi ikafika vijana walionekana kukata tamaa licha ya Kijana MWAKIPALE alitumia jitiada za kuwaelewesha huku akisema "kuwa vitu kama hivyo utokea kwani ndiyo mara ya kwanza tuvumirie tu" nao walimsikiliza Kijana MWAKIPALE na walipanda chombo Kuelekea katikati kidogo kutupa nyavu na mitego mingine. Ilipofika jioni walienda kutazama mitego yao na kukuta samaki wengi kiasi basi walirudi huku wakifuraia walichopata basi walipeleka kijiji cha pili na kuuza kiukweli waliingiza fedha siku hiyo ndiyo wakajua alicho kuwa akisema Kijana mwenzao MWAKIPALE ni cha kweli. Walifurai kwapamoja usiku huo na walipumzika ili siku ifuatayo wasichelewe kwenda kuvua samaki.
Siku ya tatu asubuhi na mapema waliamka na kupanda chombo ili wakatege mitego yao huku wakiendelea na safari Mara Kijana MWAKIPALE akaona kitu na kuwaambiwa wenzie nao walivyo ona walielekeza chombo chao kwenda kushuhudia ni kitu gani kile.......?
🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
WABEBA LAWAMA
🎧🎧🎧🌺🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹

0 Maoni