wabeba lawama sehemu ya 3



walitia jitiada za chombo kufika mahali pale japokuwa palikuwa mbali kidogo. Kwa mbali Kijana mmoja aliwaambia kile kitu kina ng'araa misili ya zahabu walivyo sikia hvyo waliongeza speed ya chombo kile na walipo karibia walimwona MTU kalala kwenye ubao huku akielea kwenye maji. Kijana MWAKIPALE alizama ndani ya maji na kumuwai yule binti kwani Kijana MWAKIPALE alikuwa mwepesi sana kwenye maji kwani aliitwa (mpiga kasia jina alilofahamika kijijini kwao). Alipofika mahari alipokuwa yule binti akupoteza mda na kuanza kumpa huduma ya kwanza huku akivuta maji aliokuwa amkekunya (alitumia mdomi wake na wa yule binti kuvuta hayo maji)

Jitiahada za Kijana MWAKIPALE zilionekana kuzaa matunda KWA binti yule kwa kukohoa na kutema maji. Basi aliwapokeza vijana wenzake ili wamuweke kwenye chombo na wampeleke nchi kavu ili apumzike. Huku vijana wenzake na MWAKIPALE walishangaa sana kumwona yule binti kwani hawakuwai kumwona binti mzuri kama yule . na walibaki kumshika shika na kusahau kumpatia huduma. Ndipo Kijana MWAKIPALE aliwaambiya wafanye upesi kumpeleka binti yule ili apate moto basi bila ya kupoteza mda vijana walifanya kama MWAKIPALE alivyo waambiya huku wakiwa kwenye safari alishituka sana na kusema..........?
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍉🍉🍉🍉🍉🍉WABEBA LAWAMA


comment na share hii story

Chapisha Maoni

0 Maoni