Ilikuwa ni mwaka 2004 wakati nikiwa form two.Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne,siku ambayo nilitakiwa kufanya ‘test ya basic mathematics’! Hii ndiyo siku ambayo ilianzisha ukurasa mwingine katika maisha yangu.!
Nilikuwa mwanafunzi hodari sana darasani.Mbali na masomo mengine kama Physics,English,Chemistry,Biology na mengine pia nilikuwa mchawi wa hesabu(namba)! Ungeniweza wapi? Nilifahamu sana quadratic equations,set logarithms na nyingine zote.Wee! ungenishika wapi? ukiniambia nikupe log ya 64 base 2 niliitaja bila kuandika chini! Nilijua log iliyo kati ya 10 na 100 base 10 ilicheza kati ya 1 na 2! Vivyo hivyo log kati ya 100 na 1000 base 10 nilijua ni kati ya 2 na 3!Pamoja na nyingine zote,hakika nilikuwa chuma!
Hapo ndipo mwalimu wangu wa hesabu alipojihisi raha kuwa na mwanafunzi kama mimi.Mara zote utamsikia ” G…….is a keen guy, G………makes me feel happy while teaching ,hakika nitapata shida sana kufundisha bila G………. darasani” Hayo yalikuwa maneno ya mwalimun R……..!
Ilikuwa ni siku ya jumanne ya mwezi wa nne baada ya sikukuu ya Pasaka.Hapo ndipo nilipopata mtihani wa kwanza mgumu na mwalimu wangu R……………! Ilikuwa ni siku ya weekly test ambapo nilitakiwa kufanya test ya ‘basic mathematics’
Alikuja mwalimu R………..darasani kusimamia test.Kama kawaida alifuata taratibu zote zilizowekwa kwa ajili ya test mbalimbali shuleni kwetu.Test ilianza na kwa hakika ilikuwa ni test ya kawaida sana! Nilifanya maswali yote bila kupata kigugumizi.Ila mwishoni niligundua kuwa kuna sehemu nilikata baada ya kuruka namba ya swali.Kwa kweli hali ile haikunifurahisha hivyo nikaona nianze upya baada ya kugundua kuwa hata mwalimu wangu asingefurahi kuona hali ile! Nitasifiwa vipi wakati kazi yangu ni chafu?
“Three minutes left” Yalikuwa maneno ya mwalimu R……..wakati nipo swali la 3 kati ya maswali 20! Nilijuta kuichana karatasi ya kwanza huku nikijua kuwa kwa muda ule mwalimu aliosema nisingeweza kumaliza maswali yaliyobaki! Nilipotazama darasani kumbe nilikuwa nimebaki peke yangu. Wenzangu walikuwa wamemaliza wote!
Nilipotazama mbele ya darasa ndipo nilipogundua kitu tofauti! Mwalimu R……….alikuwa amevaa kimini huku akiwa ameketi mbele ya darasa.Kwa hakika niligundua kuwa mwalimu R……… alikuwa ameumbika! Alikuwa mzuri hasa! mapaja daah! Niliporudi kuitazama karatasi yangu niliyokuwa najibia test ndipo nilipoishiwa nguvu! Nikajikuta nikipigwa na butwaa! Khaa kumbe nimeshafeli! Hali ile ilinifanya nijihisi haja ndogo.Nikawa najibana ili nisiathirike!
Wakati naendelea kujibana, nikatazama tena mbele ya darasa.Hapo ndipo nilipojikuta naishiwa nguvu baada ya kuutazama uzuri wa malimu R…. na kimini chake alichokuwa amevaa! Mapaja meupe ya mwalimu yalikuwa yamesheheni na kukijaza kiti sawasawa huku yakinichungulia! Hakika alivutia! Niligutuka,nikaitupa kalamu niliyokuwa naandikia mbele ya darasa! Nilijihisi raha ya ajabu! Akili iliruka nikabaki nimepigwa na bumbuwazi kwenye kiti! Mwalimu kuona vile akaja nilipokuwa nimekaa.
“G………. mbona hivyo?” lilikuwa ni swali la mwalimu huku akitazama karatasi zangu zote mbili(Niliyochana na niliyokuwa najibia).Mwalimu akaniangalia kisha akaniambia nisimame.Hapo ndipo lilipozuka jambo jingine! G….. nilikuwa nimelowa huku suruali yangu ya kaki ikiwa imetuna kwa mbele na kuonyesha doa kubwa la ute! Mwalimu alinitazama sana kwa ukali.Nilimtazama kwa sura yangu ya upole huku macho yangu yakianza kuwa mazito kwa kulengwalengwa na machozi! Mwalimu kuona vile akanionea huruma. “G…… naomba unione leo saa kumi jioni kabla sijaenda nyumbani” Hayo yalikuwa maneno ya mwalimu R…….. “Sawa mwalimu” nilimjibu.Mwalimu R….. alichukua karatasi zangu zote mbili na kuelekea ofisini! Nilirudi bwenini huku nikiwa nimechomoa shati ili nisionekane na wanafunzi wenzangu! Nilioga nikajipumzisha huku nikisubiri hiyo saa kumi ifike nikaonane na mwalimu!
Usikose kufuatana na mimi kesho jumatatu kujua jinsi nilivyojikuta nikiwa katika penzi zito na mwalimu R…….
1 Maoni
7y7tiut
JibuFuta